The Founders with Edgar's Confessions - "Vibes and Inshallah".
Failed to add items
Sorry, we are unable to add the item because your shopping cart is already at capacity.
Add to basket failed.
Please try again later
Add to wishlist failed.
Please try again later
Remove from wishlist failed.
Please try again later
Adding to library failed
Please try again
Follow podcast failed
Unfollow podcast failed
-
Narrated by:
-
By:
Kutana na Edgar Mwampinge ambae ni Mwanzilishi wa kampuni inayofahamika kama WorkNasi pamoja na HEPHA. Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwake, kutoka kua muhitimu wa shahada ya sheria mpaka kua mwanzilishi wa kampuni za teknolojia.
Changamoto zipo na zinabadilika kadiri unavyoendelea kukua. Lakini kuna changamoto chache mwanzoni unapokua mwanzilishi. Na hizi chache ndio hufahamika zaidi.
- Namna ya kuanza hasa katika yale ambayo huna utashi nayo au elimu.
- Uchumi ni changamoto ambayo haikwepeki kwa wengi.
- Mazingira rafiki pia hua ni changamoto, kutokana na aina ya kampuni/biashara.
Lakini katika yote haya Edgar bado anatuaminisha kwamba bado inawezekana kuanzisha kampuni/biashara yako. Kama yeye alifanikiwa basi na wewe unaweza kufanikiwa.
The Founders Confessions - "Vibes and Inshallah"
Cheers!
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_c
No reviews yet